Lipa Daktari Pole Pole

comments

Sasa unaweza kulipia ada ya matibabu ya meno katika kliniki zetu na kupata huduma zetu za ubora kwa njia iliyo rahisi!

JIUNGE NA MPANGO WA LIPA DAKATARI POLE POLE ili uweze kulipia ada za huduma zetu bora za kitaalamu kuhusu meno kwa bei nafuu. *Offer hii itadumu kwa miezi 6 kamili. Mpango huu utakuwezesha kuweka pesa kidogo kidogo kwa tawi zetu zifwatazo:

 

  1. Tawi la Ruaka

  2. Tawi la Machakos

  3. Tawi la Nakuru

  4. Twai la Garden City(Business Park)

 

 

HUDUMA AMBAZO TUMEWEZESHA KUPITIA MAONI YENYU NI KAMA;

 

  • KUOSHA MDOMO KAMILI (FMS)

Kwa kawaida inatozwa shilingi 5,000/- pamoja na ada ya ushauri wa daktari ya shilingi 1,500/- na gharama yote kwa jumla ni shilingi 6,500/-.

 

Sasa Utaweza kulipia hudumua hii pole pole kuanzia shilinig 1,050.8/- pekee kwa miezi sita au muda unauokufaa. Na kumbuka ya kwamba huduma hii utapata baada ya kukamilisha malipo ya pole pole.

 

Pia utapata diskaunti ya 3%, yaani hududma hii itapunguzwa kwa shilingi 195/- ulipie Shilingi 6,305/- pekee kwa jumla!

 

Anza kulipia huduma hii leo!

Piga simu kwa 0708042681 au bonyeza kitufe kilichoandikwa "Book Appointment" sasa ili ujiandikishe!

 

 

  • KUNG'OA JINO KIKAWAIDA(Normal Extraction)

Kwa kawaida inatozwa shilingi 2,500/- pamoja na ada ya ushauri wa daktari ya shilingi 1,500/- na gharama yote kwa jumla ni shilingi 4,000/-.

 

Sasa Utaweza kulipia hudumua hii pole pole kuanzia shilinig 646.6/- pekee kwa miezi sita au muda unauokufaa. Na kumbuka ya kwamba huduma hii utapata baada ya kukamilisha malipo ya pole pole.

 

Pia utapata diskaunti ya 3%, yaani hududma hii itapunguzwa kwa shilingi 120/- ulipie Shilingi 3,880/- pekee kwa jumla!

 

Anza kulipia huduma hii leo!

 Piga simu kwa 0708042681 au bonyeza kitufe kilichoandikwa "Book Appointment" sasa ili ujiandikishe!

 

 

  • KUNG'OA JINO KWA WATOTO(Paediatric Extraction)

Kwa kawaida inatozwa shillingi 2,000/- pamoja na ada ya ushauri wa daktari ya shilingi 1,500/- na gharama yote kwa jumla ni shilingi 3,500/-.

 

Sasa Utaweza kulipia hudumua hii pole pole kuanzia shilinig 565.8/- pekee kwa miezi sita au muda unauokufaa. Na kumbuka ya kwamba huduma hii utapata baada ya kukamilisha malipo ya pole pole.

 

Pia utapata diskaunti ya 3%, yaani hududma hii itapunguzwa kwa shilingi 105/- ulipie Shilingi 3,395/- pekee kwa jumla!

 

Anza kulipia huduma hii leo!

Piga simu kwa 0708042681 au bonyeza kitufe kilichoandikwa "Book Appointment" sasa ili ujiandikishe!

 

 

  • KUTOA JINO LILILOVUNJIKA AU MZIZI WA JINO ULIO BAKIA(Retained Root Extraction)

Kwa kawaida inatozwa shillingi 3,500/- pamoja na ada ya ushauri wa daktari ya shilingi 1,500/- na gharama yote kwa jumla ni shilingi 5,000/-.

 

Sasa Utaweza kulipia hudumua hii pole pole kuanzia shilinig 808.3/- pekee kwa miezi sita au muda unauokufaa. Na kumbuka ya kwamba huduma hii utapata baada ya kukamilisha malipo ya pole pole.

 

Pia utapata diskaunti ya 3%, yaani hududma hii itapunguzwa kwa shilingi 150/- ulipie Shilingi 4,850/- pekee kwa jumla!

 

Anza kulipia huduma hii leo!

Piga simu kwa 0708042681 au bonyeza kitufe kilichoandikwa "Book Appointment" sasa ili ujiandikishe!